Wale wa Shilole,hapa kuna single yake mpya iliyoandikwa na Barnaba
Zuwena Mohamed aka Shilole baada ya kufanya vizuri kwenye single yake Namchukua time hii amekuja na hii single mpya Malele iliyoandikwa na msanii Barnaba Elias kutoka THT kutayarishwa na producer Nahreel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni