Msanii wa Uganda, Jose Chameleone Dec 18 alifanya show aliyoipa jina la One Man, One Show, One Million au #OneMillionExperience Kampala miongoni mwa wasanii waliohudhuria ni wasanii kutokea Tanzania AY, Rich Mavoko pamoja na ugeni wa heshima wa mke wa Rais wa Uganda Janet Museveni.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo iliyofanyika Dec 18 kwenye hotel ya Serena iliyopo Uganda.
Mke wa Rais wa Uganda Janet Museveni ni miongoni mwa waliohudhuria show ya Jose Chameleone.
Jose Chameleone akimkabidhi Mke wa Rais Museven picha iliyochorwa sura yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni