Mkongwe wa muziki Stevie Wonder amemkaribisha mtoto wa tisa ndani ya familia yake baada ya mpenzi wake kujifungua mtoto wa kike waliyempa jina la Nia.
Nia ni mtoto wa pili kwa mpenzi wake huyo anayejulikana kwa jina la Tomeeka Bracy huku kwa upande wake ukiwa ni uzao wa tisa.
Mwanamuziki huyo amejizolea umaarufu mkubwa licha ya kuwa mlemavu wa macho kupitia nyimbo zake kwa sasa ni baba wa watoto tisa kutoka kwa wanawake tofauti tofauti aliowahi kuwa nao kipindi cha nyuma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni