GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 20 Desemba 2014

Picha za Diamond Platnumz akimla denda Zari The Boss Lady mbele za watu.


December 19 mwaka huu ndio ilikuwa ile show ya Zari huko Uganda na mgeni alikuwa Diamond Platnumz ambapo siku hiyo kulikuwa kuna vibwanga vingi kimoja ni hichi cha Zari kupigwa busu live mbele ya kadamnasi ya watu huko Uganda, hapa hakuna swali tena ni wapenzi kitu kimekuwa comfirmed kabisa picha zingine hapa chini enjoy.









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni