GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 20 Desemba 2014

#OMG# WEMA HOI... AZIMIA BAADA YA KUONA KILICHOJIRI JANA.... KWA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI JONEE HAPA.



Kweli mapenzi yanauma, baada ya kuachana na Diamond mwanadada Wema alihisi staa huyo wa bongofleva atahangaika kupata mpenzi wa type yake. Lakini sivyo....sasa mapenzi ya zZari na Diamond yamfanya aumwe, jionee picha zake akiwa hospital baada ya kuzimia.......picha ya 1....
hapo juu.

Usiku wa kuamkia leo Decemba 19 mjini Kampala ndio ilipokuwa ikifanyika ile party ya Zari AllWhite CirocParty ambapo ilifanyika katika moja ya kumbi za starehe jijini kampala na kwa mujibu wa mmiliki wa hotel hiyo amesema siku ya jana watu walijaa mpaka wengine wakashindwa kuingia, hizi ni baadhi ya picha kutoka huko ambazo mtandao wa sammisago.com umeripoti
Ni mapambo ya Thamani ya ZARI (The Boss Lady)



















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni