GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Desemba 2014

Madeni kumfikisha ‘The ambassador, D’Banj’ Mahakamani

DBANJI

Kutoka Lagos, Nigeria yule Beats by Dre official ambassador ana headline nyingine, baada ya kutoa zawadi ya zile headphones kali kwa Mr. President kumbe ana mzigo fulani wa deni  ambao mdeni anasema eti D’Banj ni kama amejisahaulisha deni hilo.

dbanj-and-jona

Hii sio noma ya kwanza kukutana nayo, unaambiwa toka jamaa arudi home ni kama kuna wadeni kibao ambao wamekuwa wakimtafuta ili wamalizane naye, ipo kampuni ya masuala ya IT ambayo pia ilisema kwamba ‘the Coco Master’ ni mdeni wao.
Mfanyabiashara Henry Ojogho ni mdeni mpya, anamdai jamaa zaidi ya Naira mil. 60, tayari amefungua kesi Mahakamani na barua ya Mahakama kwa D’Banj iko njiani kumfikia muda wowote.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni