Mirror ni msanii ambae yuko chini ya usimamizi wa kampuni ya Endless Fame mwigizaji Wema Sepetu time hii amekuletea hii video mpya ya single ‘Kolo Kolo’ imeongozwa na Meja.
Itazame hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Mirror akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni