Kipisi kutoka kwenye video mpya ya ‘mwana’ ya Ali Kiba na ilivyopangwa kutolewa.
Miezi inahesabika toka itoke hit single ya ‘mwana’ ya Ali Kiba ambayo iligusa mpaka namba 1 kwenye 20 bora za CloudsFM na kukaa kwa zaidi ya wiki tano kwenye namba moja ambapo wakati wote huo mpaka sasa video yake ilikua haijatoka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni