GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 15 Desemba 2014

HAWA NDIO WANAFUNZI WA BODING WALIOCHAFUA HALI YA HEWA KWA HIZI PICTURE



Matukio ya ajabu yameendelea kuonekana katika mitandao ya kijamii siwezi kusema zamani hakukuwa na hivi vitu ila inawezekana vilikuwepo lakini havikupata nafasi ya kuonekana kutokana na teknolojia kuwa ndogo kwa kipindi hicho hii picha inaelezwa hawa wanafunzi walikuwa wanafanya mahafali kimaadili sidhani kama ipo sawa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni