Diamond Platnumz na Team yake wakipata chakula cha usiku na Zari
Diamond amefika Uganda na kupokelewa na timu ya Zari kwaajili ya party yake ya #ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika @guvnoruganda tarehe 18 December 2014. Hizi picha za chakula cha usiku wakiwa na mwenyeji wao Zari
Akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda.
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady'
akiwekwa sawa kimuonekano kabla kuelekea kwenye shooo.
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo.

The Boss Lady akiwa katika pozi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni