GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 19 Desemba 2014

Boyfriend wa Lil’ Kim kachukua headlines baada ya alichokifanya kwenye hii picha ya Nicki Minaj.

Lil Kim's 1

Ni stori ambayo sio mpya tena kwamba rapper Lil Kim na Nicki Minaj hawaivi, sasa stori imekua kubwa baada ya rapper Mr. Papers ambae amezaa mtoto na Lil Kim June 2014 kupost hii picha ya Nicki Minaj hapa chini kwenye page yake ya instagram.
Inasemekana Mr Papers na Lil Kim walikua wapenzi wa muda mrefu kabla ya kuzaa mtoto lakini muda mfupi baada ya mtoto kuzaliwa wawili hawa wakatengana.
Saa zinahesabika toka Papers apost hii picha kwenye instagram ambayo imechukua headlines kwenye stori za mastaa duniani baada ya jamaa kuonekana kumkubali Nicki Minaj na picha yake kutoka kwenye Calendar ya 2015.
lil kim 6
lil kim 3
Kim na Papers
lil kim 2


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni