Baada ya ukimya mrefu, Ray C anakualika kuisikiliza hii single yake mpya
Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki time hii amerudi rasmi na hii single mpya yake Mshum Mshum ambayo unaweza kuisikiliza au kuidownload kwa kubonyeza hapa >>> HAPA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni