Mke wa rapper maarufu lakin pia mwanamitindo maarufu asiyehishiwa vituko anayejulikana zaidi kwa jina Amber Rose amempongeza baba ya watoto wake ambaye ni rapper Wiz Khalifa kwa staili ya kutwerk(kutikisa makalio yake) baada ya alabamu ya msanii Wizkhalifa inayojulikana kwa jina la ‘Blacc Hollywood’ kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki za Billboard...
Itizame hapa video hii HAPA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni