Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake.
Mmoja wa watu wao wa karibu amesema wawili hawa kwa sasa wako serious kuhusu uhusiano wao na kuishi pamoja maishani na siku hizi hawana mikwaruzo ya mara kwa mara kama zamani na wanampango wa kubadilisha majina na kuitwa Jolie-Pitt.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni