nick cannon akanusha kuvunja ndoa ya Wiz Khalifa & Amber Rose
Nick Cannon amekanusha kuvunja ndoa ya Wiz na Amber Rose. Habari zimeenea kwamba Nick Cannon ndio chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo. Amber Rose amefaili divorce, akiomba amepewe jukumu la kumlea mtoto wao Sebastian. Hivi karibuni Nick Cannon amemsaini Amber kwenye kampuni yake ya NCredible Entertainment.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni