GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 1 Septemba 2014

*MAKOMANDOO KUTOKA NEPAL WALIOINGIA NCHINI KINYEMELA WALIVYOKUWA WAKILINDA NYUMBA YA MNYARWANDA ANAYEISHI NCHINI UWANJA WA NDEGE DAR

Mmoja kati ya Makomandoo kutoka nchini Nepal, waliokuwa wakilinda nyumba ya Raia wa Rwanda, Sidhee Bahadur katuwal, akionesha banda la mbwa waliokuwa wakiwatumia kulinda nyumba ya Mrwanda huyo waliyokuwa wakiilinda kupitia Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security. Nyumba hiyo ipo karibu na  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.


 Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda huyo anayeelezwa kuwa alikuwa akiishi nchini kinyume na utaratibu, huku alindwa na Makomandoo kutoka Nepal

 Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni