Wanaodaiwa kumuua Afisa Usalama wa Taifa waburuzwa Mahakamani
Watuhumiwa hao ni Mohamed Othuman, Lucy Wiston,Omary Said , Kelvin Peter ambao walisomewa shitaka lao na wakili wa Serikali, Seina Kapenge.Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 20, mwaka huu itakaposikilizwa tena katika mahakama hiyo
Mtuhumiwa Mohamed Othuman anayedaiwa kuwa ni afisa usalama akiwa amelala chini baada ya kushindwa kukaa.
Mtuhuhiwa Lucy Wiston akiwa kwenye ulinzi mkali