GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 11 Agosti 2014

Uliipata hii mpya kuhusu kocha Logarusic wa Simba?

Ni saa kadhaa tu baada ya kumalizika kwa Simba Day kulikochezwa mechi uwanja wa Taifa Dar es salaam ambayo Simba iliishia kuchapwa 3- 0 na timu ya ZESCO ya Zambia.
Saa kadhaa baadae taarifa zimesambaa kwamba kocha Zdravko Logarusic amefutwa kazi ya kuifundisha club hiyo ambapo huu uamuzi umechukuliwa na uongozi wa club hii baada ya kikao cha dakika zisizopungua 300 na tayari wako kwenye mpango wa kutafuta kocha mwingine.
Unadhani Simba wamefanya maamuzi sahihi wakati huu? usiache kuniachia maoni yako kwenye comment hapa chini mtu wangu




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni