SPOTTED: DIAMOND PLATNUMZ & BABU TALE WAKIPATA MISHIKAKI USWAZI [PICHA].
Wengine wameichukulia poa wengine siyo poa. But mimi kama mimi naona ni poa maana at some point Diamond alikuwa akiishi maisha haya kuwa celebrity kusimfanye mtu kusahahu alipo toka. Big up Chibu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni