GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumapili, 17 Agosti 2014

Sporting kc yaichapa Toronto FC 4-0

Mabingwa watetezi wa kombe la ligi ya Marekani (MLS) Sporting Kansas City wameichapa Toronto FC mabao manne kwa moja. Mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Sporting KC uliopo ndani ya jiji la Kansas city. Mabao ya Sporting yalifungwa na Dwyer (mawili kwa penati), Saad moja na C.J Sapong moja. Sporting KC inaendelea kuongoza kundi la eastern conference. Tazama goli la Sapong hapa chini.
 



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni