GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 6 Agosti 2014

Sikiliza namna Mwalimu Mkuu alivyoamrisha wanafunzi kumzomea mzazi wa Mwanafunzi wa shule hiyo.


Si hali ya kawaida kwa Mwalimu Mkuu kuwaamrisha wanafunzi kuzomea mtu na haswa mama wa mtoto ambaye pia anasoma shule hiyo hiyo,idara ya Hekaheka ina stori jinsi Mwalimu Mkuu alivyowaambia wanafunzi kumzomea mama huyo.
Hapa kaongea mama aliyezomewa,mtoto wake pia pamoja na Mwalimu ambaye alipigiwa simu ingawa ushirikiano wake haukuwa mzuri kwa idara ya Hekaheka.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni