Watu wawili wamefariki dunia baada ya
kuzama ndani ya ziwa Victoria
walipokuwa wanabatizwa na mchungaji
Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of
SILOAM.
Wakati wakiendelea na ubatizo
wimbi likawapiga na kusababisha watu wawili kupoteza maisha.
Tutazidi kuwajulisha kwa kadri
tunavyozipata habari zetu!
|

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni