Mr.Blue
Salute kwa jeshi la Polisi ambalo lilisimamia mzigo mzima kuanzia mwanzo mpaka mwisho Aug 9 2014 na kuifanya hii siku iwe ya amani mpaka mwisho na watu wetu wa nguvu Mwanza.
Kiukweli hii ni rekodi nyingine katika rekodi za Serengeti Fiesta Mwanza, asante kwako uliejumuika na sisi pamoja kuenjoy lakini pole pia kama ulikosa nafasi ya kuenjoy na sisi kwenye hii siku, show zinazofata ni Bukoba Ijumaa hii na Kahama Jumapili hii.
Baraka da Prince na watu wake
Makomando kazini
Young Dar e salaam
Adamu Mchomvu na Dj Fetty wakisababisha
B12 na Adamu Mchomvu
Young Killer Mwanza Mwanza akifanya yake
Mr.Blue akifanya yake.
Nyandu Tozi , Young D na Mr.Blue waki bustiiiiiiiiiiiii
Vanesa Mdee na Dancer wake wakisababisha
Skylight Band wakitumbuiza
Wakali kutoka Mkubwa na wanawe
Dj’s kazini wakiongozwa na Zero wa CloudsFM, wa Tiptop connection na Rommy Jones wa Diamond.
Temba kwenye kuskika kipaza
Mh. Temba na Chege wakisababishaa!!!
Mc. Adamu Mchomvu.















.jpg)





.jpg)


.jpg)























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni