GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 23 Agosti 2014

Picha: Hivi ndivyo Mario Balotelli alivyowasili Uingereza tayari kujiunga na Liverpool

article-2731732-20BA078700000578-816_964x386

Sakata la usajili wa Mario Balotelli kwenda klabu ya Liverpool kutokea AC Milan linakaribia kufikia tamati baada ya mshambuliaji huyo wa Italia kuwasili jijini Liverpool kufanya vipimo tayari kukamilisha usajili wa £16m.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 24 alisafiri kutoka Brescia mpaka Merseyside kwa ndege binafsi hapo jana usiku.
Hizi ni baadhi ya picha zake alivyopokelewa na mashabiki wa Liverpool…

1408726035727_Image_galleryImage_PICTURE_BY_CHRIS_NEILL_07

1408716574194_wps_2_Spada_LaPresse_22_08_2014

1408742221298_wps_4_Pics_By_Phil_Richards_Pic

1408716584163_wps_3_Spada_LaPresse_22_08_2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni