Haka ni Ka Movie Kengine Ka kali in the Making….Jana Nuhu Alihojiwa Kwenye Radio fulani Maarufu Bongo na Kuelezea Ugomvi Wake na Shilole na kuonyesha wamepigana chini , Lakini Masaa Machache alipost Picha akimbusu Shilole Kwenye Kurasa yake ya Instagram na Kuandikia :
“I love ma Baby.yameisha ntaishije bila yeye kwa mfano”


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni