GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 2 Agosti 2014

Mtoto wa Beckham amekua, mcheki hapa na girlfriend wake wa kwanza

 Beckham mtoto wa kwanza wa David Beckham ana miaka 15 na hivi sasa ameanza ku-date na msichana Brooklynmwenye umri wa miaka 17. Hii ni mara ya kwanza kwa mtoto huyu wa kwanza wa Beckham na camera nyingi zimeanza kumfatilia kwenye kila mtoko atakao kuwa na actress/model Chloe Moretz.
Wawili hawa wametambulishwa na marafiki zao na kuanza urafiki wa karibu hatimaye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. Sources zinasema kwamba David Beckham na Victoria Beckham wanajua kinachoendelea kati ya mtoto wao na Chloe Moretz. Wote kwa pamoja imeripotiwa wamempa baraka mtoto wao kuendelea na uhusiano huo



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni