MAZOEZI YA WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO
Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni