GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 1 Agosti 2014

MASKINI...CHEKI HUYU MSANII TOKA BONGO ALIVYO AIBISHWA NA POLISI NCHINI CHINA MITAANI.


 Mrembo almarufu kwa jina la" Winne Mandela" katika mziki wa kizazi kimpya akiwa amenaswa na polisi China.Huku modo maarufu Bongo Jacquline Fitzpatrick akisota jela kwa kosa kukamatwa na madwa ya kulevyaa(unga ), Mrenbo mwingine alijaribu kuchomoka kisanii kwenye mzuki wa kizazi kimpya almaarufu Winnie Mandela naye kanaswa nchini china.
Tukio hilo lilijili wiki iliyopita baada ya kupitishwa kwa msako maalumu  wa kutokomezaa biashara hiyokatika viunga vya mji wa Hong Kong, China.
JUX, PETIT MAN WAPATA WAKATI MGUMU kwa mujibu wa chonzo chetu cha habari chenye maskani yake mjini Hong Kong, Mbongo fleva Juma Khaleed "Jux Vuiton" na maneja wa msanii wa bongo fleva aitwaye Mirrow, Petit Man nao walijikuta wakati mgumu baada ya kunusulika kuunganishwa katika operation hiyo ya ukamataji uingizaji wa madawa ya kulevya nchini china.



Winnie mandela msanii wa mziki wa kizazi kipmya bongo akiwa chini ya ulizi mkali sana. Ilidaiwa ya kwamba Winnie Mandela alijukuta mikononi mwa askari wa China akidaiwa kubeba mzigo wa madawa ya kulevya tumboni hivyo kukamatwa kutembezwa mtaani kuelekea kituo cha polisi.Ilisemekana Winnie ni msichana wa jijini Dar alifanikiwa kupita vizuizi vyote lakini kwa hali ilivyo nchini humo ndipo akijikuta akikamatwa na kutembezwa mtaani kama mhalifu wa kivita.

Unaambiwa ilikuwa kama vita kwa polisi wa china huwa hawana siraha za kutisha sana. Unajua Winnie alikamatwa kwenye mtaa wanaoishi wabongo wengi sana hapa Hong Kong," kilisema chanzo chetu kutoka Hong Kong.Ilidaiwa kwamba askari hao walipokea maagizo maalumu kutoka kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya nchini humo kwani sasa nchi hiyo imechafuka kwa uingizaji wa madawa ya kulevya, jambo ambalo limeifanya serkali ya China kufanya msako mkali sana kuhakikisha wanatokumeza wimbi hilo. Chanzo chetu kilisema kwa wabongo wanaokwenda uko au wanaoishi China kama digi digi wamefikia hatua ya kutoonyesha passpoti zao na hata wengine wanadiriki kukataa Uraia wao kwa kuwa wabongo ndiyo wanasakwa kwa wingi.

"Sasa hivi jamaa wakisikia wewe ni Mtanzania wanakufutilia sana kwani ndiyo wenye sifa ya uingizaji wa madawa ya kulevya nchini China," kilisema chanzo chetu na kuongeza :- Kama hauamini muulize Jux au Petit Man.Hicho ndichokilichomtokea Winnie, nakuambia Wabongo wanazidi kukamatwa na madawa ya kulevya yaani ni aibu huwezi kuamini." Wabongo wengi wanakamatwa Hong Kong na madawa ya kulevya na wengine hata familia zao hazijui kama Watanzania hawa hawaamini wamuulize Petit au Jux walishuhudia mtiti mwanzo mwisho."

Balozi wa Tanzania nchini China ilikupata udani na idadi ya Watanzania wanaokamatwa kwa ishu ya madawa ya kulevya nchini China, chombo hiki cha habari GennSwahili kipata tarifa ya kuzibitisha hilo,





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni