Liverpool imekubali kutoa dau paundi milioni 16 ili kumnasa mshambuliaji Mario balotelli kutoka AC Milan ya Italia.
Kocha Brendan Rodgers wa Liverpool amekubali mtukutu huyo atue Anfield ili kuongeza nguvu ya ushambuliaji.
Balotelli aliwahi kuichezea Manchester Cuty kwa mafanikio makubwa lakini alikuwa haishi vituko.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni