GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Ijumaa, 8 Agosti 2014

Kama ulikwa hajui huyu ndiye Power BLACK Nyati ' JIKE JEURI ' ndani ya usiku wa matumaini.



Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.


                           Jike Jeuri' akipiga 'push - up' ndani ya Uwanja wa Taifa


Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni