GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 7 Agosti 2014

Picha:- Joketi amemfanyia interview ex wake Diamond , mashabiki wadai wanaoneana aibu.


Jokate Mwegelo na Diamond wakiwa kwenye studio za TV1

Msimu wa pili wa kipindi cha The One Show cha TV1 umeanza. Kinachofanyika kwa sasa ni kurekodiwa kwa vipindi hivyo vitakavyoanza kurushwa hivi karibuni. 
Leo, watangazaji wa kipindi hicho, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo walikuwa wakimhoji Diamond Platnumz. 

Diamond ameshare picha kwenye Instagram akiwa amekaa kwenye kochi na ex wake Jokate, na kuvutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki.

Jokate, Romy Jones, Ezden na Diamond Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kwa muda mfupi, walikuwa wakioneana aibu. Ni kweli? -