GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 14 Agosti 2014

Jessica Garcia ashinda Miss World Colombia 2014


Jessica Garcia (21), Miss Nariño, ameshinda taji la Miss World Colombia 2014 mwishoni mwa wiki hii iliyopita. Mrembo huyu ana urefu wa 1.65m. Jessica atakuwa mwakilishi wa Colombia katika Miss World 2014 mwezi huu wa Desemba jijini London, Uingereza. Virreina (mshindi wa pili) alikuwa Miss Bogota, Manuela Sanchez, na wa tatu ni Miss Valle, Laura Mora.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni