Msanii maarufu na mwenye pesa ndefu inchini Kenya, Jaguar anatafuta nyumba ya kununua South yenye thamani ya shilingi milioni 100 za Kenya. Ataitumia nyumba hiyo kama studio. Jaguar ataweza kufanya kazi na maproducer wa nguvu ndani ya South Africa. Cheki picha zake akifanya house shopping kwa Madiba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni