Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii mkubwa wa bongo movie, Irene Uwoya ametupia picha mtandaoni akiwa hana nguo ya juu kiasi cha kutafsiriwa vibaya na mashabiki wake kwamba ameanza kujiuza….
Uwoya alijipiga picha hiyo na kuitupia mtandaoni akiwa ameandika ujumbe wa kuwananga watu waliompa ushauri wa kutorudia kitendo hicho kwa kuwa yeye ni mke wa mtu….
“Unajua dada wewe ni mke wa mtu usifanye hivyo, wewe ndo ulinifungisha ndoa? Mbona mnakimbelembele wabongo! Please Mind your Business…..” aliandika Uwoya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni