GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 13 Agosti 2014

Hizi ni picha mpya za Rihanna zinazo-trend kwenye mtandao hivi sasa



Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanaoishi sehemu zenye baridi.
Magazine hiyo imemtambulisha Rihanna kama “world’s wildest style icon”. Kwenye hii photoshoot alifanya pamoja na models maarufu kama Naomi Campbell,Iman na Balmain










Hakuna maoni:

Chapisha Maoni