Chama cha Mapinduzi -CCM kimedai kuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Joseph Warioba na baadhi ya wajumbe wa tume yake wamemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa chama hicho rais Jakaya Kikwete
Hatua hiyo imefikiwa kutokana na Mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya mwalimu Nyerere ambao umefanyika Jumatatu wiki hii na kwamba kupitia mdahalo huo Jaji Warioba na wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba waliitupia lawama CCM na mwenyekiti wake kwamba hoja zake ni nyepesi, dhaifu na za kutunga.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema Jaji Warioba na tume yake wameugeuza mchakato wa katiba kama mradi wao binafsi hali inayosababisha wasikubaliane na mtu yeyote anayetaka kutofautiana nao kimawaz
Jaji Warioba


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni