GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 7 Agosti 2014

Baada ya Davido kuongelea beef lao, Wiz Kid amjibu kupitia twitter

Baada ya jana Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz ameingia twitter na kumjibu bila kumtaja jina kama kawaida yao. Tweet hiyo inadhihirisha kwamba Wiz Kid hakupenda jinsi Davido alivyozungumza kuhusu hilo beef.