GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumanne, 29 Julai 2014

Video 10 za hiphop zinazotamba kwenye Top10 ya TRACE TV

ama kiu yako ni kufahamu pia kuhusu hiphop yenye nguvu duniani na iliyofanikiwa kuchukuKa nafasi kwenye countdown za nchi kubwa kama Marekani, UK, France, Australia na kwengine… hii ni time yako mtu wangu.
Kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za hiphop wiki hii.







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni