GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Alhamisi, 31 Julai 2014

Dakika 2 za alichokisema Diamond baada ya ushindi AFRIMMA (video)

Weekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.

Kama ulitamani kuona Diamond akihojiwa baada ya ushindi huo hii ndio time yako mtu wangu…

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni