Hit maker wa "Kwa Ajili yako " Hussein Machozi aliyeweka kambi na kukubalika sana nchini Kenya
anadaiwa kuwa amefumaniwa na mke wa Mwanasiasa Mkongwe wa nchini humo na kupewa masaa 24 ya kuvuka mpaka wa Kenya .
Kwa mujibu wa Gazeti la The Star la Kenay, Hussein Machozi alikuwa anatembea na mwanamke wa Mwanasiasa huyo wa Mombasa kwa muda mrefu kwa siri huku wakiwa na mipango mikubwa ikiwa ni pamoja na kukunua nyunba .
Lakini mapenzi ni kokohozi, siri hiyo ilimfikia ilimfikia Mwanasiasa huyo baada ya kushtukia pale alipoana ujumbe usio wa kawida kwnye simu ya mkewe kwa njia ya WhatsApp.
Mwanasiasa huyo ambaye anadaiwa kuwa mtu wa anaesafiri mara kwa mara kwa biashara na kushughulikia mambo ya siasa aliamua kuweka mtego ambao ulimnasamwizi wake na kumtia mikononi mwake.
Gazeti hilo linaelezea kuwa liliongea na rafiki wa karibu wa Hussein Machozi wa Mombasa anaefahamika
kwa jina maarufu Hotystee na alikiri kutokea kwa tukio hilo.
"Nilishtuka pale nilipopokeaa simu kutoka kwa Hussein Machozi akiniambia kuwa alikuwa katika tatizo. Aliniambia mapema anaenda kukutana na mwanamke ambaye alikuwa mpenzi wake lakini sikujua kitu ambacho kingetokea".
Hata hivyo Hussein Machozi anaonekana bado yuko nchini Kenya kwa mujibu wa chanzo chetu,


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni