GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumanne, 17 Juni 2014

Vita dhidi ya ubakaji vitani

  
Ubakaji kama silaha ya vita, sasa inalengwa kwa wanawake na ni mojawapo ya uhalifu mkubwa uliotendwa katika karne ya ishirini na ya ishirini na moja.
Hii ni kutokana na mkutano wa kimataifa uliomalizika mjini London.
Mkutano uliitishwa na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa ambaye pia ni mcheza sinema Angelina Jolie na waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague.
Wanajaribu kuzishawishi serikali duniani kuongeza juhudi zinazolenga kuupiga vita ubakaji kwneye maeneo ya vita.Zuhura yunus anatufahamisha zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni