
NORMAN SIMON
Mtangazaji wa radio ya gennradio ,kipindi cha ''Happy Hour'' kila siku ya jumanne saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili jioni saa za Amerika ya kati ..katika kipindi chake bwana Norman anazungumzia matukio mbalimbali yaliyo tokea ulimwenguni hususan maswala ya michezo na burudani ,pia ni mmoja kati ya wakilishi wa MLS Sporting KC ,

ROBERT OTTO
CEO wa gennmedia/radio/gennTV hakichangia hoja katika kipindi cha ''Happy Hour'' wakizungumzia michezo na burudani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni