
''GODWIN NDOSI''
Mtangazaji wa kipindi cha ''GODWIN SHOW'' kinacho rushwa katika lugha ya kiswahili , kipindi hiki huwa tuna jadili mambo mbalimbali yanayo kabili Bara letu la Africa katika nyanja mbalimbali kama, Sasa, Uchumi na maendele ,Jamii, Utamaduni wetu na maadili ya kiaafrika ,sana sana tumebobea katika maswala ya Utamaduni na Michezo na Burudani usikose kumtegea sikio kijana huyu ambaye kazi zake kimeanza kukubalika taratibu , vile vile unaweza kuwa mmoja wachangiaji katika kipindi hiki kwa kupiga simu nambari 913-662-1190 au unaweza kukitazama live kupitia link zetu http://www.gennmedia.com/live-stream-top

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni