GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumamosi, 17 Januari 2015

Inasikitisha: Ajifungua kisha kukitupa kichanga kwenye box!!!


MUNGU ANAWEZA KUKUELELEZA HAPA HAPA DUNIANI.

Hii imetokea Leo Dodoma. binti atoa mimba na mtoto kutupwa kwenye Box nakutupwa kwenye Takataka 
Ivi wakati unafanywa Ulitegemea nn?

Mungu atusaidie ichi kizazi

R.I.P mtoto

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni