GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatatu, 4 Agosti 2014

Unaambiwa huyu kwenye harakati za uokoaji yeye aliamua kuondoka na King’amuzi.

Kwa takribani Wiki kadhaa zilizopita ulitokea moto maeneo ya mwananyamala ambao uliteketeza baadhi ya mali za watu,sasa unaambiwa wakati wa uokoaji majirani wakiwa wanasaidiana kuokoa vitu na kuzima moto jirani mmoja aliamua kuiba king’amuzi kutoka kwenye moja ya nyumba iliyokuwa inateketea.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni