GENN MEDIA

KANSAS COLLEGE OF NURSING

Jumatano, 9 Julai 2014

EXCLUSIVE: VIDEO ZA BUM BUM NA MDOGO MDOGO ZIMEMGHARIMU DIAMOND SHILINGI MILIONI 130!

 IMG 1650
Wakati unafurahia kuangalia video kali za mbili za Diamond Platnumz, Bum Bum na Mdogo Mdogo zilizoachiwa kwa pamoja jana, tungependa kukufahamisha kuwa ubora huo unaouona haujaja kwa pesa za nyanya. Bum Bum na Mdogo Mdogo zimemgharimu Diamond dola 78,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 130 za Tanzania.
 IMG 1642

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni